Hakika
pengine ukiangalia picha hizi unaweza dhani kuwa ni picha za kutengeza
lakini ni hali ya kweli hawa wameungana lakini wanafanya kazi nyingine
kama kawaida ikiwa pamoja na kufanya shughuli za kimuziki wana uwezo wa
kupiga kinanda tunafanya jitihada ya kutafta video lakini kwa sasa
angalia picha zaidi kumbuka licha ya kuwa na ulemavu huo lakini vijana hawa wanapiga kazi kama nini
Wednesday, March 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment