Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha mbele ya waandishi wa habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamaha” alisema wema
Baby Madaha usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 2012 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani. Aunty Ezekiel
Pia Aunty Ezekiel aliungana na Wema Sepetu katika kutia aibu fiesta dodoma mwaka 2012. Aunty Ezekiel naye aliungana na Wema kuita vyombo vya habari na kuomba msamaha.
0 comments:
Post a Comment