Saturday, March 15, 2014

3:19 AM
 
 
Miss Dar Indian Ocean ambaye ni Miss Kinondoni namba 2 mwaka jana, Diana Hussein (pichani) hivi karibuni amejikuta akipata aibu baada ya picha yake ya utupu kuvuja, Amani linayo kibindoni.


Picha hiyo inayomuonesha Diana akiwa matiti nje, imesambaa kwenye mtandao wa simu wa BBM huku baadhi ya watu ‘wakifoadiana’. 
Baadhi ya marafiki wa mrembo huyo walisema kuwa wameshangaa kuiona picha hiyo kwani kwa wanavyomjua hawakutarajia.


Akiizungumzia picha hiyo, Diana alisema aliipiga kwa matumizi yake binafsi ila akashangaa kuona imesambaa mtandaoni.
Wakati Diana akiteswa na skendo hiyo, Miss Rukwa namba 3 mwaka jana, Vency Edward naye amefuata mkumbo baada ya picha zake za utupu kunaswa.

Picha hizo kama ilivyo kwa Diana, zimezagaa kwenye mtandao wa BBM na zinamuonesha ameshusha gauni lake hadi kiunoni na kuliacha eneo la juu wazi.

0 comments:

Post a Comment