Tuesday, March 11, 2014

12:15 AM
Hi Admin:
Naitwa Hilda, naishi Dar na mume wangu ambae nilifunga nae ndoa miaka mitatu iliyopita na tuna mtoto mmoja sasa. Samahani naomba ushauri, huyu mume wangu ana rafiki yake ambae walikua na urafiki kabla hata sijaanza kumfahamu mume wangu, yeye anadai urafiki wao ulianza tangu wadogo. Sasa juzi nilimuacha mume wangu nyumbani nikaenda katika mizunguko yangu ya vikoba, nilivyorudi nikawa naskia sauti za miguni ya kimapenzi chumbani kwangu, kwasababu mlango haukufungwa vizuri nikaingia mpaka ndani nikamkuta mume wangu anagongwa na yule rafiki yake.. Nilistuka sana, nifanyeje? Kumuacha siwezi bado nampenda nabaki na mawazo tu na kitandani ananiridhisha?

0 comments:

Post a Comment