Habari mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto
mmoja kati ya mapacha wanne Pichani amefariki dunia jioni ya leo baada
ya kuugua kifua kwa muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia
ndiye alikuwa ni mkubwa.
Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.