Yule bint wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii
ameendelea kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya
kurusha hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena
mtoni huko Kijijini Mwanza.
Domo langu limefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye accont ya Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe .
Kwa maujibu wa jicho langu, picha hizi kama zinavyooneka , amepiga
kwa hiyari yake mwenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila
kujitambua, alidhamilia kufanya hivyo.
Jeska ambae kwenye Account yake ya Facebook anatumia jina la King Kikii Dota alizimwaga picha hizo ili zisambae makusudiPicha siyo nzuri, usiziangalie kama ni mtoto…
<<picha zaid hapa>>
0 comments:
Post a Comment