Wednesday, December 4, 2013

12:06 PM

Zikiwa zimebaki siku 27 kabla ya kuuaga mwaka 2013, mtandao wa Bongo 5 umetoa orodha ya video za wanamuziki wa kitanzania ambazo zimeangaliwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube toka January 2013 hadi leo. Pia imezingatia video ambazo walau ziliweza kufikisha 10,000 views. Kwazile zilizowekwa zaidi ya mara moja ilichukuliwa ile yenye views nyingi zaidi ya zingine.
Orodha hiyo inaongozwa na Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwa video yake ya ‘My number 1’. Video hii iliwekwa Youtube 02/09/2013 na imetazamwa mara 1,258,363. Hakuna hata video moja iliyoweza kufikia robo ya views hizi.
Orodha hiyo ni kama ifuatavyo………………;

1.Diamond Platnumz – My Number One

Imewekwa: September 2, 2013
Views: 1,258,363
 

2.Lady Jaydee ft. Professor Jay – Joto Hasira

Imewekwa: March 15, 2013
Views: 190,688
 
3.Lady Jaydee – Yahaya
Imewekwa: August 17, 2013
Views: 166,792
 
4.Rich Mavoko – One Time
Imewekwa: March 18, 2013
Views: 157,931
 
5.Keisha ft. Diamond – Nimechoka
Imewekwa: January 24, 2013
Views: 102,386
 
6.Nay Wa Mitego & Diamond – Muziki gani
Imewekwa: May 26, 2013
Views: 99,724
 
7.Ben Pol – Jikubali
Imewekwa: Jun 10, 2013
Views: 97,970
 
8.Shaa – Lava Lava
Imewekwa: March 28, 2013
Views: 86,814
 
9.Snura – Majanga
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 86,271
 
10.Jux – Uzuri wako
Imewekwa: September 2 , 2013
Views: 80,509
 
11.Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker – Jana na Leo
Imewekwa: August 14, 2013
View: 80,169
 
12.Madee – Sio Mimi
Imewekwa: April 22, 2013
Views: 74,893
 
13.Shilole – Paka la bar
Imewekwa: May 17, 2013
Views: 73,517


14.AT ft. Dida – Kitumbua

Imewekwa: July 5, 2013
Views: 71,072
 
15.Abdu kiba ft Ali kiba – Kidela
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 68,717
 
16.Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – My Baby
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 56,787
 
17.Mwana FA & AY- Bila Kukunja goti
Imewekwa: October 11, 2013
Views: 51,511
 
18.Vanessa Mdee – Closer
Imewekwa: June 12, 2013
Views: 51,174
 
19.Stamina ft Darasa & Warda – Mwambie Mwenzio
Imewekwa: September 3, 2013
Views: 44,281
 

20.Lucci & Jokate – Kaka Dada

Imewekwa: August 23, 2013
Views: 40,953
 
21.Shilole – Nakomaa na Jiji
Imewekwa: November 8, 2013
Views: 35,880
 
22.Ommy Dimpoz Ft. Vanessa Mdee – Me and You
Imewekwa: March 2, 2013
Views: 34,662
 
23.Shetta ft. Rich Mavoko – Sina Imani
Imewekwa: July 15, 2013
Views: 33,777
 
24.Feza Kessy – Amani ya moyo
Imewekwa: June 23, 2013
Views: 32,995
 
25.Shaa – Sugua gaga
Imewekwa: November 4, 2013
Views: 29,889
 
26.Snura – Nimevurugwa
Imewekwa: November 22, 2013
Views: 23,539
 
27.Roma – 2030
Imewekwa: November 1, 2013
Views: 23,210
 
28.Darasa ft. Winnie – Nishike Mkono
Imewekwa: January 16, 2013
Views: 21,057


29.Matonya – Sembule

Imewekwa: July 7, 2013
Views: 18,215
 
30.Timbulo – Sina makosa
Imewekwa: June 20, 2013
Views: 17,345
 
31.Kala Jeremiah ft. Ben Pol – Karibu Dar
Imewekwa: March 16, 2013
Views: 17,110
 
32.Izzo B ft. Barnaba & Shaa – Love Me
Imewekwa: July 12, 2013
Views: 10,662/.

0 comments:

Post a Comment