Thursday, December 5, 2013

7:23 AM



Baada ya watu wengi kuzusha na kusema mengi juu ya mshahara anaolipwa waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, hatimaye ameamua kuwatolea uvivu na kuweka wazi kiasi anachopokea. Waziri Mkuu amedai bungeni muda huu kwamba mshahara wake hauzidi Tsh. 6mil na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni uzushi mkubwa kiasi kwamba yeye ni mkopaji tu katika mabenki na kuwa mshahara huo ni pamoja na mapato ya mkewe.

Source: Leo Bungeni -TBC

0 comments:

Post a Comment