Monday, December 2, 2013

3:37 PM


MWANAMITINDO maarufu nchini, Jack Patrick amemtetea msanii Juma Khalid ‘Jux’ kwa kusema ni marafiki wa kawaida na kukanusha taarifa za uhusiano wa kimapenzi zilizozagaa. 

Jack akiwa na Jux katika pozi.
Alisema anapoona katika mitandao na baadhi ya magazeti yakiandika kuhusu uhusiano wa kimapenzi, hujisikia vibaya kwa vile kunamtibulia kwa mpenzi wake anayemhisi vibaya.
Kama kuna mapenzi lazima ningeweka wazi tu na kama itatokea nitaweka wazi, naomba watu wasinihukumu kwa kutumia picha, picha ni nyingi na wataona nyingi zikiendelea kwa sababu sisi wote tunapenda kupiga picha,” alisema Jack.






0 comments:

Post a Comment