Wednesday, December 4, 2013

6:00 AM
Msanii mkongwe wa bongo movies anayekwenda kwa jina la Nora ameamua kuwaomba radhi wasanii
wwenzake pamoja na wengine kwa kutoshiriki kwake kwenye matatizo mbalimbali ya wenzake kama vile
msiba na mengineyo.....

                                     Nora katika Pozi.

Akizungumza na gazeti moja la udaku Nora amesema huwa anashindwa kushiriki kwenye matukio hayo
kwani anakuwa yuko bize saana.......
Hii inaonekana ni kujifunza kutokana na yaliyomkuta msanii mwenzake Wema Sepetu kwenye msiba wa
baba yake mpendwa Mzee Sepetu. Wasanii wa bongo muvies walimsusia msiba huo kwa kilichodaiwa
Wema hakuwa akishiriki misiba na matatizo ya wenzake.

0 comments:

Post a Comment