Sunday, December 8, 2013

1:58 AM

Katika pita pita maeneo yaliyo nje kidogo ya mji maarufu hapa nchini, mwandishi wetu aliona gari limeegeshwa mbali kidogo na barabara, na ndani ya gari kulikuwa na madada wawili na njemba moja.
Dada mmoja alikuwa amekaa siti za nyuma wakati mwingine alikuwa yupo mbele akiwajibika (kufanya mapenzi) na njemba. Mpambano blog inalani kitendo hicho kwani ni ukosefu wa maadili ukizingatia kwa mbali kidogo kulikuwa na watoto waliokuwa wanatoka shuleni. Tunaiomba serikali kuwachukulia hatua kali kwa wale wote wanaofanya mambo kama haya.

0 comments:

Post a Comment