Wednesday, December 4, 2013

6:18 AM
                                                            Jokate Mwengelo aka Kidoti katika muonekano mpya.

Huo ndio muonekano mpya wa mwanadada Jokate. Azimio la habari inakupa fursa ya kutazama picha mbalimbali za mwanamitindo huyo kutoka Tanzania. 



Jokate akionyesha vazi lake la Gauni.

Hapa akionyesha muonekano mpya wa nywele zake na Hereni zake.

Kutoka kulia ni Ommy Dimpoz, B12, Jokate na Mwana FA


0 comments:

Post a Comment