Tuesday, February 25, 2014

7:39 AM


Kweli elimu ni  bahari na wala haina mwisho,picha aliyoipost kwenye mtandao hivi karibuni  wa kijamii inamuonesha msanii
huyo mahiri wa bongo movie LULU akiwa anapiga kitabu,huku wadau wakimuhasa apige kitabu uenda ikawa ni mkombozi wake

0 comments:

Post a Comment