Wednesday, February 26, 2014

10:52 PM

Mwaka ulianza vibaya kwa jamaa huyu aliyefumaniwa na mke warafiki yake kipenzi huko mbeya kwenye gesti fulani ambako walikaa huko siku nzima, wakipeana burudani, haikuwa mara yao ya kwanza kufanya hivyo mpaka ikaja kujulikana na kunaswa..


  Jamaa alipata nafasi ya kuvaa nguo ila mwanamke alikuwa bado yuko kitandani na taulo tu akiwa hajavaa nguo yoyote nyingine

0 comments:

Post a Comment