Friday, February 28, 2014

2:16 AM
Reaction ya watu kuhusu hii story ya Pnc na aliyekuwa manager wake Ostaz Juma wa Musoma imegusa watu wengi na mitazamo imekuwa Positive na Negative pia. Wako wanaosema jamaa kajirudi na ndio vizuri kuomba msamaha huku wengine wakisema kitendo cha kupigwa picha akiomba msamaha sio sawa.

Msanii Kitale wa maigizo na Muziki kastoa maneno haya kuhusu issue hii.

“KWA kitendo ulichokifanya Ostaz Juma namusoma Kwa PNC ni uzalilishaji Laiti kama ungenifanyia Mimi Kitale ninavyozijua akili zangu ww c una Hela mm ningekuja na watoto wa Mwananyamala watoto wa tandale mpaka nyumbani kwako tungefanya yetu arafu taratibu tungejirudisha makwetu na video yetu tunaangalia ghetto haya maisha boya ww acha ushamba mtu anakuomba msamaha unamrecord video unamuweka Instargram ili iweje.????????? ”

0 comments:

Post a Comment