Kamanda Suleiman Kova JAN ELOFF AKITOLEWA NJE YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KWA AJILI KUTAMBULIWA NA MWANAHABARI WETU ...
USALITI….Mke wa mtu ala kipondo baada ya kufumaniwa akiwa na rafiki wa mumewe chumbani…!!
HUU ni usaliti 100%! Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Mwanahamisi au mama Daudi, mkazi wa Pugu-Kajiungeni, Dar, amejikuta akipata ...
“Serikali mbili Zinatosha”…Kadinali Pengo
KANISA Katoliki limekanusha taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari kuwa msimamo wa kanisa hilo ni kuwepo kwa serikali tatu katika katib...
Mfungwa Ambaka Mwanafunzi wa shule ya Msingi..!!
GEITA MFUNGWA aliyekuwa akitumikia kifungo cha miezi sita katika Gereza la Butundwe wilayani Geita amembaka mwanafunzi wa Shule ya...
MHAMIAJI HARAMU AKAMATWA NDANI YA SANDUKU LA NGUO..!!
MHAMIAJI HARAMU AKAMATWA NDANI YA SANDUKU Je, ni kwa kiasi gani uko tayari kuhatarisha maisha yako ili uweze kufikia malengo yako? Ki...
Monalisa Awachana Bongo Movie wanaowaowabania Wenzao wasitoke.
MWIGIZAJI mwenye sifa za kimataifa Evonne Cherryl ‘Monalisa’ amewashukia wasanii nyota wanaojisahau na kujiona kuwa wao ndio wao, na wa...
RAY C Amchana LORD EYEZ baada ya kukamatwa kwa wizi wa LAPTOP
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huy...
DEBATE: “Ziro” zitakwisha lini sekondari za Kata?
Ni takriban miaka 10 sasa tangu kuanzishwa kwa shule za kata hapa nchini kupitia mpango kabambe uitwao “Mpango wa Maendeleo ya Elimu y...
Rais Kikwete Atembelea Vikosi vya Makomandoo wa JWTZ
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo kwa kutumia mchoro kuonesha...
Kundi la Weusi Lamsimamisha LORD EYEZ baada ya kushutumiwa kwa wizi wa LAPTOP
Msemaji kampuni ya Weusi, Nick wa Pili amesema kuwa rapper Lord Eyez amesimamishwa na kampuni hiyo kutokana na kuvunja maadili. Nick ...
Update: Ridhiwani Kikwete Ashinda Kura Za Maoni Jimbo La Chalinze.
Masanduku ya Kura za Maoni yakiwa na Kura Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikwete akiomba kura na kunadi sera z...
Yesu Bandia Aonekana Akiwaponya watu huko Ghana Nchini
Yesu mwingine aonekana ghana na amekuwa akipita nyumba hadi nyumba kuponya watu na wengi wa watu wakizani kuwa walikuwa wana act movie....
Afisa wa Polisi Amtwanga RISASI Mkewe, Kisha Ajiua
Afisa wa Polisi Amtwanga RISASI Mkewe, Kisha Ajiua AFISA wa Jeshi la Polisi nchini Kenya amemjeruhi vibaya mkewe kabla hajajiua. T...
Mama Amuunguza Mikono Mtoto kwa kosa la Kudokoa Njegere Jikoni..!!
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Jangwani, Manispaa ya Sumbawanga amechomwa moto mikono yake miwili, kutokana na tuhuma za...
Wazidiwa na Kukimbizwa Hospitali baada ya Kunywa Dawa ya Mganga wa Kienyeji..!!
HII nayo ni kali na haijawahi kutokea. Wakazi wawili wa Vingunguti kwa Simba Mbili jijini Dar akiwemo mwenye nyumba wamekimbizwa hospita...
LORD EYEZ Matatani tena Kwa tuhuma za Wizi wa LAPTOP.
Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari. Utafiti huo ulimb...
Mtoto Mmoja kati ya Mapacha Wanne waliozaliwa Mkoani Mbeya Afariki Dunia.
Habari mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha wanne Pichani amefariki dunia jioni ya leo baada ya kuug...
Mume wa mtu Amtokea puani Kajala…Adaiwa kuwa chanzo cha kuwekewa sumu kwenye Chakula.
Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show ya mwanamuziki Izzo Buzness....
Taswira ya Bunge la Katiba kutoka Mjini Dodoma Leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale...
Kampeni za CHADEMA Kalenga zazidi Kupamba Moto…Wazee wa Kalenga wawapa Baraka Zote
Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ng...
Ney wa Mitego Amchana Ostaz Juma baada ya Kumdhalilisha PNC.
Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kij...
Picha za Kimahaba za Hemed na Najma zazua Jambo.
Waigizaji wa filamu nchini ambao pia ni wanamuziki wa Bongofleva Hemedy Suleiman na Najma Datan wamezua maswali kwa watu wanaofuatilia ...
USAGAJI wamtesa Vibaya Jack Wolper
Msanii Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usag...
Facebook, Instagram na Whatsapp kufunga huduma zake Uganda baada ya Museveni kupitisha sheria kali dhidi ya Ushoga.
Ikiwi ni siku chache baada ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda kusaini muswaada wa sheria ya kupinga ushoga nchini humo, kampuni ya Faceb...