MASWALI HATARI SANA..SHEPU YANGU MATATA NI OFISI TOSHA, SITAKI LAWAMA..!!NI SHIDAAA AISEE....!! 11:46 PM BATA BOY Kuna watu wanalitafuta umbo kama langu kwa wachina mwisho wa siku wanaumbuka mi hili langu nimezaliwa nalo. Wacha linipe riziki kwani sijaazima wala kununua ni langu tena langu mwenyewe. Upo hapo..!! MMMHH JAMANI YUKO SAWA KWELI HUYU..!!
0 comments:
Post a Comment