NI AIBU KUYAGEUZA MAISHA YA SHULE KUWA KAMBI YA MAPENZI
Siku hizi ni kawaida kwa wanafunzi kupiga picha chafu kwa kisingizio cha ugumu wa maisha.Mbali na kisingizio hicho, wapo pia
ambao hupiga kwa lengo la kutafuta umaarufu na wapo pia ambao hupigwa na
wapenzi wao pasipo kukusudiaHaijalisha alipigwa na mpenzi wake au
alijipiga bila kukusudia.Sote tunajua,mwanafunzi ni sawa na kioo cha
jamii maana hao ndo viongozi wa taifa la kesho.Iko haja ya
kubadilika
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.