Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 wamejeruhiwa
vibaya kufuatia ajali ya basi la Bunda Express walilokuwa
wakisafirikia kutoka Dodoma kwenda Mwanza kugongana na Treni
eneo la Manyoni Mkoani Singida….
Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.