PICHA IZI APO CHINI:
Msanii
Aunt Lulu ambaye alishawahi kuwa Mtangazaji wa Kituo cha Lunninga Bongo
C2C amenukuliwa katika Moja ya Interview aliyofanya na chombo kimoja
cha Habari kuwa ametumika na wanaume wengi mno pasipo kupata faida.
Kauli
ya dada huyu inadhihirisha wazi kabisa kuwa lengo lake la kujiachia
hivyo lilikuwa ni kufanya Biashara ya Mwili wake mwenyewe ingawa anakuwa
amezidiwa ujanja na Wanaume anaokutana nao
Baada
ya Aunt Lulu kufunguka hayo Msanii mwingine ambaye pia ni Mwandishi wa
Habari kupitia Mitandao ya kijamii Sinta amefunguka na kumtolea uvivu
msanii huyo anedai kuwa ameriwa uroda kwa miaka mingi pasipo kupata
malipo yoyote.
“Hiki
ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili
ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa
kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi”
ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake”
yaani
nimekereka sana na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi na
ameamua kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God
forbid” (Quatation Source Sinta)
TOA MAONI YAKO APO CHINI KWENYE COMMENT:
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.