Lawrance Mwalusako akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya
gharama kubwa kwa klabu ni pamoja na usajili wachezaji na mishahara.Akiongea na
waandishi wa habari juu ya mahesabu hayo katibu mkuu wa Young Africans Lawrence
Mwalusako amesema mapato makubwa ya klabu yanatokana na viingilio vya mechi na
ufadhili.
·
Juhudi
mbalilmbali zinafanyika kuongeza kipato cha klabu kama kuingia mikataba ya
ufadhili, kutumia haki miliki za klabu.
·
Uongozi
unajitahid kuweza kudhibiti matumizi ya klabu kama njia moja ya kuhakikisha
klabu inajitegemea.
·
Klabu bado
inaendelea kutegemea ufadhili wa TBL ambao kwa sasa inapata wastani wa mIL
30.25 kila mwezi, Madhumuni ya ufadhili huu ni kuwezesha klabu kulipia
mishahara ambayo wastani inzaidi mil 60 kwa mwezi. Tayari klabu imeshaomba
mazungumzo na mfadhili kuboresha mkataba huo.
·
Katika kipindi
cha Januari 2013 hadi Julai 2013 klabu iliweza kupata mil 110 kama zwadi mbalii
mbali za ushindi ikiwemo mil 15 kutoka vodacom kwa kuwa timu yenye nidhamu.
·
Bado kuna mali
za klabu hazija thaminiwa zikiwemo majengo.
Hii hapa ni nakala ya report hiyo;
0 comments:
Post a Comment