Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya MSANII wa filamu, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ baada ya kurukaruka sana, sasa inadaiwa ni mja...
HIZI HAPA NI NYIMBO 14 NA SEHEMU YA MISTARI YAKE ZA WASANII WA MBELE ZILIZOWAHI KUTAJA JINA LA MANDELA
Michele Obama akiwa na Nelson Mandela Jina la Nelson Mandela, rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini lilikuwa na litaen...
LAANA: WAKUTWA LIVE WAKIFANYA NGONO NDANI YA GARI
Katika pita pita maeneo yaliyo nje kidogo ya mji maarufu hapa nchini, mwandishi wetu aliona gari limeegeshwa mbali kidogo na barabara...
AJALI YA MELI: TAZAMA PICHA ZA HATUA KWA HATUA ZA KUZAMA KWA MELI YA MV MERCI II.
Sehemu ya chini ya meli hiyo Meli hiyo inavyoonekana kabla ya kuzama Meli hiyo ilipoanza kuzama Meli hiyo kama in...
TAZAMA PICHA MBALIMBALI ZA MABASI ZA MABASI YAENDAYO KASI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Mabasi ya mwendo kasi 2014 kimara kivukoni. Picha kwa hisani ya Deo Mutta Mwanatanga
RATIBA MPYA YA MAZISHI YA NELSON MANDELA
Hatimaye raisi wa SA Bw. Jacob Zuma ametangaza rasmi kwamba marehemu Nelson Mandela atazikwa 15/12/2013 kijijini kwake Qunu katika jimb...
HII SASA NI LAANA: ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUFANYA MAPENZI KARIBU NA MSIKITI.
KHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mk...
JE WAJUA KILICHOMFANYA MB DOGGY AKAKAA KIMYA MDA MREFU? KISOME HAPA.
Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya kimya kikubwa cha msanii wa R&B nchini Mohammed also known as MB Dog, mmoja kati ya wasan...
HUU HAPA WARAKA WA SIRI NA MIPANGO YA CHADEMA DHIDI YA ZITTO NA CHACHA WANGWE
Huo hapo juu ni waraka wa siri wa ndani ya CHADEMA baina ya Katibu mkuu, Mwenye kiti na wanaotajwa kama wajumbe wa baraza maalumu la ma...
SHARO BARO ACHEZEA KICHAPO CHAKUFA MTU. CHEKI HAPA
KIJANA mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja juzikati alijikuta akichezea kichapo cha mbwa mwizi ...
INASIKITISHA, MTOTO ASEMA AMECHOKA KUBAKWA NA BABA YAKE MZAZI
Stori: JOSEPH NGILISHO, Arusha AMA kweli dunia sasa inaserereka! Katika hali ya kusikitisha, baba mzazi mwenye familia ya watoto watat...
SOMA HAPA TIMBWILI LILILOANZISHWA NA FAMILIA YA MZEE MWINYI.
Stori: SHAKOOR JONGO FAMILIA ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi juzikati ilizua tafrani mtaani kufuatia mz...
JE, WAJUA WAZIRI MKUU WA TANZANIA ANALIPWA SHILLINGI NGAPI KWA MWEZI PAMOJA NA MARUPURUPU? SOMA HAPA.
Baada ya watu wengi kuzusha na kusema mengi juu ya mshahara anaolipwa waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, hat...
SOMA ALICHOKISEMA WASTARA (MKE WA MAREHEMU SAJUKI) JUU YA MPENZI WAKE MPYA
Wastara juma katika pozi Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo ...
INASIKITISHA; MTOTO WA KIGOGO AMPIGA MFANYAKAZI WA BAR RISASI KISHA KUACHIWA HURU
Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshikilia na kisha kumwachia “chapchap” mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro na...
MAMA YAKE ZITTO ZUBERI KABWE ANUSURIKA KIFO.
Mama mzazi wa Zitto Zuberi Kabwe. MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Shida Salum amenusurika kifo baada ya gar...
SOMA HAPA YALIYOMKUTA BELLE 9 BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Belele 9 katika pozi Mkali wa bongo fleva Abelnego Damian 'Belle 9' Aliwahi kukumbwa na zahma mbaya ya kufumani...
PICHA MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM WAMALIZA JIJI MBEYA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya mjini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni...
MAHAKAMA YATAKIWA KUMTAMBUA SOKWE KAMA BINADAMU
Kikundi kimoja cha kutetea haki za wanyama nchini Marekani kimeitaka mahakama mojamjini New York kumtambua sokwe kama binadamu kisheria...
DR KITILA MKUMBO AKANUSHA KUWA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA, ADAI ALIJIUZULU TANGU MWAKA 2010
Katika hali ya kushangaza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Kitila Mkumbo, amekanusha madai ya kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya ...
PICHA: MKUTANO WA DR SLAA KAHAMA MJINI
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akihutubia wakazi wa Kahama Mjini jana. Dk. Slaa ak...
ZITTO MATATANI BAADA YA KUSHINDWA KESI YAKE YA KUTOA KASHFA DHIDI YA MFANYA BIASHARA RAIA AFRIKA KUSINI
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara nyingine ameingia matatani baada ya kushindwa kesi iliyofunguliwa na mfany...
WALIO HUSIKA KUCHOMA MOTO OFIS YA CHADEMA NI WANA CHADEMA WENYEWE: RIPOTI YA POLISI
Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa Ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuse...