Tuesday, March 4, 2014

10:04 AM

Masanduku ya Kura za Maoni yakiwa na Kura
 Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikwete akiomba kura na kunadi sera zake

Wanacham wa CCM Bagamoyo wakijipanga tayari kupiga kura
  Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze-CCM Ridhiwani Kikweteakipiga kura yake 
Kutoka Kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kutoka Wilaya ya Bagamoyo, Ridhiwani Kikwete, na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Iman Madega.
Taarifa zinasema matokeo ya kura za maoni yanaonesha:
Waliopiga kura ni 1,321.
  Kura halali ni 1,306.
  Kura zilizoharibika ni 5.
Rizwani amepata  kura 758
Imani Madega Amepata Kura  335
Maneno Amepata Kura  206
Mkwanzu Amepata Kura  12

0 comments:

Post a Comment